browser icon
You are using an insecure version of your web browser. Please update your browser!
Using an outdated browser makes your computer unsafe. For a safer, faster, more enjoyable user experience, please update your browser today or try a newer browser.

Tags

Pamoja na watoto wa Makobeni, hii ni watoto kenya onlus project

Xlestrade ilikutana na Lara Bertoncello na Frarncesco Moschini, wafanyakazi wakujitolea na wasemaji wa Watoto Kenya Onlus kule Padova. Watoto Kenya Onlus ilizaliwa mwaka wa 2004 na kikundi cha marafiki kutoka Roma. Wakifuata ushauri wa Sabrina Sabbatini na Italo Ciprianikulihamia Malindi, mji wa kitalii waliyoizuru tangu miaka ya 1980. Waliamua wakiwa Kenya wataisaidia jamii ile haswa watoto … Continua a leggere >>

Categorie: | Tags: , , , | Commenti disabilitati su Pamoja na watoto wa Makobeni, hii ni watoto kenya onlus project