browser icon
You are using an insecure version of your web browser. Please update your browser!
Using an outdated browser makes your computer unsafe. For a safer, faster, more enjoyable user experience, please update your browser today or try a newer browser.

Karibuni Onlus Bologna

logo Karibuni copiaContact Person: Patrizia Gualandi; Telephone Number: +39 3397757937; +39 0516252141;
E-mail: karimail@libero.it; Website: www.karibuni.bo.it

Xlestrade walifanya mkutano na Patrizia Gualandi na Mauro Raggioli ambao ni wasimamizi na wanachama wa Karibuni Onlus Bologna.
DSC_1030Offisi kuu za shirika zipo San Lazzaro of Savena (Bologna). Wazo la shirika hili lilizaliwa mwaka wa 1989 kusudi ya safari ya wasichana wawili kule Tanzania kuzuru rafiki yao.
Katika safari yao mawazo yao yalitekwa na lile jumba la watoto yatima huko Mgolole, karibu na Morogoro, yapata 200km kutoka Dar es Salam, inayoendeshwa na kikundi cha watawa wa Tanzania. Tangu hiyo siku wasichana hao waliamua kulifadhili hilo mradi.

Uchaguzi wa neno “Karibuni” kama salamu, inalengo la kukaribisha kila mtu ambaye angependa kukaribia shughuli za hili shirika.

Hapa kuna orodha ya miradi yao:
1. Kununua ng’ombe wasita, tano wake na mmoja dume na pia kuwajengea ngombe hao makaazi yao.
2. Kuwapa usadizi wa kielimu kwa watoto wa mradi na vijiji jirani.
3. Usadizi wa kielimu katika chuo kikuu kwa wasichana ambao wanahitaji.
4. Kuwakamilishia jamii miradi mengine yenye umuhimu Kwa jamii.DSC_8006

Katika miaka iliyopita, mbali na Mgolole orphanage, Karibuni Onlus imejenga uhusiano na majumba mengine manne ya watoto yatima: Rulenge (katika mpaka wa Rwanda), ndani ya Tosamanganga (karibu na Iringa), katika Ukwama (karibu na Mahenge) na Kondoa (karibu na Domoma).
Kumalizia, walifanyakazi na mashirika ya ndani (lokali) ilikuendesha miradi ya mikopo midogo wakiwa na lengo ya kuwasaidia familia masikini kuwapeleka watoto wao shule.
Lengo kuu ya mradi ni elimu, kama msingi kuu ya maendeleo ya kijamii.

Xlestrade iliwauliza Karibuni onlus kuhusu mipango yao ya baadae. Jibu lao ni kuwa kwa wakati huu wangependa kudumisha miradi yao yote kule Tanzania, lengo ni kuanzisha uhusiano mpya na mashirika mapya ndani ya Tanzania, kujenga kikundi kipya ambayo inaweza endeleza na kusimamia vizuri shughuli zao zote kule.

Italy Karibuni Onlus Bologna wanakaratibu shughuli ya kuchangisha fedha, vijana kubadilisha picha na michoro kati ya wataliani na watanzania kati ya darasa la kwanza na pili, pia kutambua historia ya Tanzania na utamaduni na mila yao.

Kwa wale wangependa kushirikiana shirika hili kuna uwwezekano wa kujitolea kufanya nao katika Italy na Tanzania. Karibuni Onlus hupanga safari ya vikundi musimu wa (summer) kila mwaka kuanzia Februari.

Ujumbe kutoka kwa shirika linatoka kwa R. Follerau“kama watu wengi wa umuhimu mdogo katika pahali pengi penye umuhimu mdogo watafanya vitu vya umuhimu mdogo, wataibadilisha sura ya ulumwengu”.

Tunataka kushukuru Karibuni Onlus kwa uwepo wao na kutuelezea ustadi wao. Karibuni onlus ni mmoja kati ya rafiki wetu! Tuyaongeze “udogo “ kutoka kwao ndani ya mifuko yetu ambayo kwetu ni “nyingi” ndani ya miradi yetu.

DSC_4420